pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,273
- 3,808
Wazee naomba link.
we unaota kama kipara alichemka kwa uwo mziki itakua kina Sane wanadondoka tu Real madrid wame relax ata awachezi kwa pressureNi swala la muda tu bayern tupige kambak
Wembe uliomnyoa kipara gadiola unamshindwaje Tomasi na nywele zakeNi swala la muda tu bayern tupige kambak
timu imecheza kwa utulivu bila pressure kam ndio unatazama mechi kwa mara ya kwanza unaweza dhani ni mechi ya makundiHT: Bayern Munich 0-1 Real Madrid
anautani sana uyu kipara alichemsha kabisa leo Thomas aje auweze huu mzikiWembe uliomnyoa kipara gadiola unamshindwaje Tomasi na nywele zake
Toni kiukweli yupo vizuri, ninakumbuka aliwahi kumpa pasi Vinicius kama ya leo, yaani pasi inatolewa kwa maelekezo.Pasi ya kiwango toka Kwa Toni mpaka dogo kakubali.View attachment 2977765
Babu Toni anapiga mipasi hatari sana. Na hapo bado babu Modric hajaingia. Mbona watatukubali.Pasi ya kiwango toka Kwa Toni mpaka dogo kakubali.View attachment 2977765
Approach ya mwalimu ipo sahihi. Waache vijana wapige counter attacks. Si unaona mibeki ya Bayern haipandi? Inajua kule mbele kuna vibelenge viwili vya moto. Ila naomba Coman asiingie. Wamuache Sane aendelee kucheza rede zakeNi Ancelloti ameamua kukaa nyuma tu, ila hawa tukiamua kucheza watakula za kutosha, ni ile wasi wasi wa Carlo tu kuwa tukiwaachia nafasi watatufunga, so acha vijana waende vile Mwalimu anataka.