Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 1,614
- 2,732
Ile ya Jana Haikua mbali mbona Kama sane alikua kashaingia ndani ya boxHuyu kipa wetu kama Degea,za mbali mtu akipiga imo ila za papo kwa papo anapangua.[emoji23][emoji23]...ni match za mfululizo sasa washamsoma,mtu akiwa nje tu akipata upenyo akipiga imo.