Don 2009
Senior Member
- Jul 14, 2019
- 110
- 262
Jude yupo vizuri hata Goal la kwanza alilitengeneza yeye
Nothing Personal, Ila Jamaa ni kilaza, na British Media inatumia nguvu nyingi kuaminisha jamaa ni Best Player wa timu kitu ambacho ni kituko, mbaya zaidi kuna wanojiita mashabiki wa Madrid wemeingia kwenye huo mtego