Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

IMG-20240418-WA0250.jpg
 
we need Hakimi or full fit recee james as our RB
Reece James ni better option ila tatizo la yule dogo ni majeraha ,karibu msimu mzima sasa hajacheza , sijui karogwa na nani .

Reece kwenye kukaba anajua sana ,kwenye attacking pia yuko vyema .

Akiendelea na majeraha hivi ,itakuwa ni talent iliyopotea ,mithiri ya kina Theo Walcott
 
Race James ni better option kwa Hakimi? Dah hii dunia ina vituko sana, unaanzaje kumuona bora James mbele ya Hakimi?
 
Back
Top Bottom