Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,754
- 6,490
Barca akimtoa PSG ana asilimia kubwa sana kufika fainali., Atletico huwa wanajua kuwakazia Real Madrid tu, ila kwa team nyingine za La Liga huwa wanachapika kirahisi sana.Sikucheki game la Barca, nimeona matokeo tu hapa.Ila kama El Cholo atatoboa ujerumani basi njia ya Barca kufika fainali ni nyeupe, provided that atapita.
Why?EL cholo hajawahi kumfunga Xavi tangu katua Barca. Na sioni akianza mara hii
Sie hiki kizingiti cha City tukikivuka ni moja kwa moja final., Jumatano week ijayo itatoa majibu ya uhakika.