United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,237
- 6,604
unaongea kama mtoto wa shule ya Msingi kwahyo mchezaji kuto perfom mechi moja Ndio mbovu achaa utotoModric anatakiwa kuanza nafasi ya Jude, kwa kweli jamaa hana faida yoyote uwanjani zaidi ya kuvizia mipira ndani ya 6 yard box.