



Soo kwa kufinywa huku mkuu😥😥😥Poleni ndio ukubwa huo
Muda bado sanaNdugu yangu hakuna namna tena tu, tujipange next year
Hamna uwezo huo wa comeback kwa mnavyocheza hata pasi mnazopiga hazikamiliki mtafungaje.Second half tunapiga comeback![]()
Leo Vini kama hayupoSoo kwa kufinywa huku mkuu😥😥😥
Camavinga acheze katikati442 ilikua best formation kuanza nayo. Tunacheza vizuri pasipo mpangilio. Hii game imeisha tujipange next season
Dah! Aisee 😬Yaani leo ni hatari tupu.
Camavinga mchezo umemkataa
Mid field imegoma kabisa
Vini na Rodri leo wamekataa
Daaaahhhh kwa hizi takwimu kupiga comeback itakua ngumu sana aiseee.Second half tunapiga comeback![]()
Namkubali huyu mwambaLeo Vini kama hayupo