Profesa wa Maliasili
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 632
- 1,922
Kuna tetesi Zidane anaweza kurudi kuelekea msimu mpya ikitokea Don Carlo akatimkia brazil
Fragile materialHiv huyu Hazard anaumiaga wap maana simuonagi kucheza lakini utakutana nataarifa yakuumia
Jidangaye kama Man city tuta mtibu kama GironaYaani Girona anawasumbua Halland mtamuweza?
Arudi tu hana bayaKuna tetesi Zidane anaweza kurudi kuelekea msimu mpya ikitokea Don Carlo akatimkia brazil
Kuna tetesi Zidane anaweza kurudi kuelekea msimu mpya ikitokea Don Carlo akatimkia brazil
No one can stop the cityzens from winning the UCL trophy this season.
We are coming for you.
Emu watusogezeee mbele iyo game ya fainali kombe la mfalme, aseee tuna majeruhi wengi na tarehe 9 tupo na cityzens. Vinni anaweza kuwa na suspensionLeo benzema kapiga hattrick yake mapema tuu. Tukimaliza hapa nadhani weekend tuna fainali kombe la mfalme
Kwa uchezaji huu wa kupanda kifala tukikutana na mancity Ni msibaChangamoto ambayo madrid tunaipata hadi team zinapata magoli na matokeo kwetu ni ile timu inapopanda inachelewa kurudi...sasa huwa tunapokutana na team ambayo ina vijana wenye kasi basi huwa tunapigwa.
Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app

Zizou haiwez Tena timu,Zidane alishogonga mwamba pale Madrid hana tena maajabu atakayoyafanya pale.

Hajui anachokisema uyoUnaposema Carlo hajui kufanya Rotation una maanisha nini?
Emu watusogezeee mbele iyo game ya fainali kombe la mfalme, aseee tuna majeruhi wengi na tarehe 9 tupo na cityzens. Vinni anaweza kuwa na suspension
Lucas vasquez ameanza tumika full right back. Rotation nzuri hiii
Tumeshinda halla Madrid mm kwangu Madrid msimu huu nawadai copa de ley tu hata game ya man city sina presha nayo
🤍🤍🤍los blancos