Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 12,527
- 35,712
Kama kawaida yetu Madrid hatuna Maneno mengi ni vitendo tu anayefata anajijua tunataka tuwafunge timu za EPL ZOTE PALE WASITUZOEE
HALLA MADRID 🤍🤍🤍🤍
HALLA MADRID 🤍🤍🤍🤍
Naangalia game ya Napoli hiii imekwisha
Mtakutana na BayanKama kawaida yetu Madrid hatuna Maneno mengi ni vitendo tu anayefata anajijua tunataka tuwafunge timu za EPL ZOTE PALE WASITUZOEE
HALLA MADRID 🤍🤍🤍🤍
Mbuzi cup au?Mtakutana na Bayan
Ngoja tumalizane na bayern leo af tuje tuwarudishe mkapambanie copa del rey.Kama kawaida yetu Madrid hatuna Maneno mengi ni vitendo tu anayefata anajijua tunataka tuwafunge timu za EPL ZOTE PALE WASITUZOEE
HALLA MADRID
Acha kuota mchana wew city yupi timu ambayo Haina hata kikombe kimoja ije ishinde UEFA ubingwa ni wa Ac Milan au Real Madrid full stop.No one can stop the cityzens from winning the UCL trophy this season.
We are coming for you.
HallahHallah Madrid
Hamtoboi Chief!Kwa zile beki za City Ake na Akanji wanavyosifiwa wakipata mtu machachari kama vini na rodrygo amini watapoteana na Rasta zao vibaya sana..
Ningekua Don Carlo ningempa namba Hazard kwenye hii game ata nusu saa..Pia Rodyrgo atabaki benchi kwasababu dogo ni fundi ila Stamina ndo hana wanamuonea sana bora Gavi nguvu hana ila ni mbishi ukimchezea foul anakutunishia anajua mtaamuliwa tu.Pia Asensio ni muhimu sana kwenye hii game
Militao alipoteana kipindi kile Etihad hasa goli la mwisho saza Nawaza sana huyu jamaa wakimpa haland si atachoma?? Jini Apewe mtu kama Rudiger japo ni mzito ila atapambana uwezi kupita kizembe kwa rudiger...Carvajal pia anauzoefu sema nae duuh sijui ni Uzee ila mbona Modric anakiwasha vzur tu?
Pia Velverde ni mtu makini sana asikose hasa Etihad stadium asikose namba..
Kama kuna kosa kubwa watalofanya basi ni kuruhusu City washinde Etihad stadium..Inabidi wajitahidi sana watoe hata droo alaf bernabeu kila kitu kinaisha..Wasije wakatufanyia kama 2021 walitupiga Home na Away 2-1
1% Chance 99% Faith
Hamtoboi Chief!
Kwa kikosi mlichonacho, kufika nusu fainali ni achievement kubwa msimu huu. City anawatoa!
Bora useme mcm uliopita ndo kikosi kilikua tia maji ila saivi ni balaa yani upara wa Pep utawaka siku iyoHamtoboi Chief!
Kwa kikosi mlichonacho, kufika nusu fainali ni achievement kubwa msimu huu. City anawatoa!