bobwilfredy
Member
- Dec 19, 2022
- 7
- 12
Daah nne nyingi zinauma xanaa.
Timu imechoka na haina morali, Carlo naye hajui kufanya rotation.Pia kuna average players wengi hawastahili kuvaa jezi ya Real.
Mechi ya Man city inaeza amua hatma ya Carlo.
Yaani Girona anawasumbua Halland mtamuweza?
Yaani Girona anawasumbua Halland mtamuweza?
HalaandSio sarah tena?
Madrid kwa Girona jasho huwa linamtoka sana. FuatiliaYaani Girona anawasumbua Halland mtamuweza?
KumbeTangu 2019 Madrid hajashinda kwa Girona.View attachment 2599825

Hii team imekuwa kama mwanamke malaya Iinagawa tu points
Mbona makasiriko? Kwa hiyo unataka kusema hapo marinda yako yametatuliwa zaidi? Pole kwa maumivuMalaya vp umesahau juz tu tumekutatua malinda au?
Mbona makasiriko? Kwa hiyo unataka kusema hapo marinda yako yametatuliwa zaidi? Pole kwa maumivu
Timu imechoka na haina morali, Carlo naye hajui kufanya rotation.Pia kuna average players wengi hawastahili kuvaa jezi ya Real.
Mechi ya Man city inaeza amua hatma ya Carlo.