KENGE 01
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 1,770
- 4,394
Duuh apo vitaumana mbona raha ya Santiago bernabeu ni 2nd LegWab
Wanaanzia spain
Duuh apo vitaumana mbona raha ya Santiago bernabeu ni 2nd LegWab
Wanaanzia spain
Mnaogelea kwenye mkondo wa mazoea.Bora useme mcm uliopita ndo kikosi kilikua tia maji ila saivi ni balaa yani upara wa Pep utawaka siku iyo
Chelsea wamenunua kwa pressureBiashara ya mpira wa miguu.
- Vinicius amenunuliwa kwa thamani ya Euro milioni 45
- Rodrygo amenunuliwa kwa thamani ya Euro milioni 45 (Real Madrid)
- Mudryk amenunuliwa kwa thamani ya Euro milioni 100
- Enzo Fernandez amenunuliwa kwa thamani ya Euro milioni 121(Chelsea).
Bora ya ceballos timu ikiwa inacheza kushambulia anauwezo angalau wa ku build up shambulizi akiwa kiungo namba 8 au namba 10. Ila timu ikiwa inashambuliwa hawezi kuform shield. Nadhan MATEO KOVASIC angerud huyu ceballos ni average angebaki kule kule Arsenal kama mwenzake ORDEGARD au tumuwinde JUDE BELLINGAHM. Sasa kwa nacho jameni jamaa anakabia sana mgongo na macho jana almasura IAGO ASPAS atufunge kisa u floppy wa Nacho sema kipavakatuokoa. Cleansheets nzuri kwa COURTOUS.Ceballos ni moja ya wachezaji wa kawaida sana anayecheza madrid,yeye na Nacho ni ngekewa tu wako nayo...
Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
Nacho akiwa kwenye line up hua sina amani kabisaCeballos ni moja ya wachezaji wa kawaida sana anayecheza madrid,yeye na Nacho ni ngekewa tu wako nayo...
Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
Nacho ni kama ile beki brazil inaitwa Dante. Ila kuna saa akivurugwa anakichafua pale CENTRAL DEFENDER...... Japo mara nyingi anatuchoma akicheza RB na LBNacho akiwa kwenye line up hua sina amani kabisa
Tulidharau hii game toka mwanzo na kila goli lililofungwa hakuna chakujifunza...Kwan leo mbona tunapigika sana kulikon?
Timu imechoka na haina morali, Carlo naye hajui kufanya rotation.Pia kuna average players wengi hawastahili kuvaa jezi ya Real.
Mechi ya Man city inaeza amua hatma ya Carlo.