Real Madrid hawahitaji midfield unless awe World Class, huyo kijana wakiengeraza ni mchezaji wa kucheza Newcastle hizo ndio timu za size yake. Timu inatakiwa kuimarishwa Defense Pamoja na Forward.
Nikweli zinahitajika hasa beki za pembeni na striker lakin pia sidhani kama creativity ya Modric tushaipata