Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Mtaniii.

Nilisahau kuwapongeza kwa ushindi wa Camp Nou. Ilikua lazima mshinde, maana hata psychologically, mlikua more motivated to win kutuzidi. Tulikua tumewapiga mechi nyingi mfululizo, njaa yenu ilizidi njaa yetu.

Kwa Chelsea niliwatabiria kushinda siku nyingi tu. Chelsea hata akipewa Yanga, hapindui. Nadhani next round mnakutana na Man City. Sioni kama mko na quality ya kumpiga Pep Guardiola kwa sasa. Labda zitokee ngekewa!

Kuhusu copa del Rey, ngoja ile curse yenu iwashughulikie. Mtaikosa kimaajabu sana!

Jana rais wa Barca alijieleza mambo mengi Kunaniiiiii paleeeeeeeeeeeeee. Amekiri Barca ilimpa rais wa chama Cha marefa USD 8m eti aje atoe ushauri ndani ya club.
LoL
 
Hivi Sakata la Perez na Juan Laporta ni la nini ni la nini sasa hivi, sielewei kitu ila nahitaji kufahamu, maana comment za Ki- Spanish ndo nyingi huko twitter. Anayefahamu tafadhali anitoe tongotongo.
 
Badae hiyo Chelsea atamfanya mtu kitu kibaya
20230417_152134.jpg
 
Heko Madridista

Leo tuko uwanjani kuendeleza safari yetu ya ushindi. Nawatazama chelsea wakija na nguvu nyingi walau wapate bao moja la kuwarudisha mchezo.

Mbinu ni ile ile tukae na mpira tucheze one two tupate goli moja ili lizidi kuwaasha chelsea.

Natarajia kipindi cha pili timu itacheza kwa counter attack ikiwa tutaenda half bila kufungana.

Yote kwa yote mpira unamatokeo matatu tusubiri tutakua upande upi.

Hala Madrid
 
Chelsea atakuja na plan Ile Ile ya pasi ndefu kama alivyoanza kwenye first leg. Na pia at ajaza viungo wengi katikati Kama alivyofanya. Ni matumaini yangu beki zetu na wachezaji wetu wacheze Kwa nidhamu kubwa ya kujilinda na wasiingie na matokeo mkononi. Chelsea Leo atajilipua kushambulia sana walau apate goli.
 
Back
Top Bottom