Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,519
- 5,423
Niimani yangu Jana GAVI alifanyiwa uhuni wa kutosha alijikuta anaanzisha vita na wahuni waliotulia kumbe Kuna ITALIANO MAFIA kama DON CARLO na wahuni wengine wa south America akina MILITAO hopefully dogo GAVI aliomba msamaha Jana.
Game ya mwisho ma legend wa Madrid walituma salama Kwa malegend wa Barca Kwamba ongeeni na dogo wenu aseee.
Game ya mwisho ma legend wa Madrid walituma salama Kwa malegend wa Barca Kwamba ongeeni na dogo wenu aseee.