Mwaka 2019/2020 tulimpiga Madrid nje ndani 2-1 home ,tukaenda kwao tukampiga 2-1 , aggregate 4-2 ...
Madrid akatolewa kwenye mashindano round of 16 ...
Yaliyotokea mwaka Jana kumfunga Madrid 4-3 home ,tukaenda kwake 2-1 ,had extra time ilikuwa kma luck kwao ..
Nasema hivi kama mnaweza nyie mbwa njooni tukutane Tena CL ....ngonja kwanza tumtwange buyern munich harafu tunakuja kuwanyoosha mtaeleza zile goli mbili dakika ya mwisho mlizipataje ..View attachment 2555377
Inamaana ww kushinda nisawa ukipoteza niluck kwa mpinzani sio
