Dogo kacheza vizuri mpe sifa yake LEFT WING tumefanya njia yetu Leo ARAUJO amekiona Cha moto SEMA dogo vini finishing hawezi
sasa huko kutokuweza vinishing ndiko kunakomfanya awe hafai. Sifa namba moja ya forward anayotakiwa kuwa nayo ni finishing.
Dogo kacheza vizuri mpe sifa yake LEFT WING tumefanya njia yetu Leo ARAUJO amekiona Cha moto SEMA dogo vini finishing hawezi
Wewe unajua mpira au Huwa unaanglia kwenye Television
Pamoja na Kwamba tumepoteza cna wa kuwalaumu Los Blanco's wakuu tumekuwa na fatique za mechi. KB9 alikuwa hayupo mchezoni muda mwingi Vinni anaingia kwenye box KB9 yupo nyuma haonekani
Perez ampunzishe Don ampe kazi Conte mtafurahi sio?
Kumkosa TOMAS TUCHEL ni kosa aseeee jamaa anaweza kukaa n vijana wetu tukawa tishio ulimwenguni
Kumkosa TOMAS TUCHEL ni kosa aseeee jamaa anaweza kukaa n vijana wetu tukawa tishio ulimwenguni
Buda nilindie heshima yangu aseeeacha mihemko kijana, Kocha gani wa maan yule? Punguza kutizama na kushuhulkia sana EPL ni hatari kwa afay yako
Umeme umeme umeme umenikosesha burdani
Hivi CR7 hajawahi kabisaKarim Benzema is the first Real Madrid player with a hat trick at Camp Nou since Ferenc Puskás in 1963