Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Nilisema hatuchomoi hii game. Hii ni Madrid dhaifu zaidi miaka ya karibuni
 
Pamoja na Kwamba tumepoteza cna wa kuwalaumu Los Blanco's wakuu tumekuwa na fatique za mechi. KB9 alikuwa hayupo mchezoni muda mwingi Vinni anaingia kwenye box KB9 yupo nyuma haonekani

Nafikiri ni muda sahihi wa kujaribu na talent zingine na kuwapata nafasi wasiocheza pamoja na vijana wa castilla. Hasa mechi za laliga ili tuone mwisho wa msimu nani wa kuondoka nani wa kubakia, nani wa kwenda kwa mkopo
 
Pamoja na Kwamba tumepoteza cna wa kuwalaumu Los Blanco's wakuu tumekuwa na fatique za mechi. KB9 alikuwa hayupo mchezoni muda mwingi Vinni anaingia kwenye box KB9 yupo nyuma haonekani

Agreed. Mbele kulikua hamna watu kabisa, Kronos and modric their time is up, hawana miguu tena ya kupanda na kushuka, Benz ashakua spana mkononi.

Ni muda Carlo aanze transition na kuwaanzisha tchou, camavinga na ceballos pamoja waanze kuzoea.
 
Ndo maana don Carlo alifanya izo sub kama ulivyotalajia na taratibu tukaanza kupress. Nilitegemea atoke nacho aingie Tchou Ili full back namba 3 akae camavinga
 
Wewe unajua mpira au Huwa unaanglia kwenye Television

Tuambie wewe unayejua, you're entitled to your opinion.

Barca msimu huu hatuwawezi it's as clear as day. Next game Copa tunagongwa tena.

Vini I'm not changing my opinion everybody knows that game moja he's at the peak inayofuata at the very bottom.
 
Back
Top Bottom