Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

1677793273755.png
 
Nilisema last WK tulipocheza na Liverpool, hii ni RM mbovu zaidi kwa miaka ya hivi karibuni.

Tumeshindwa kuifunga Barca ambayo lewa na Pedri hawapo tena nyumbani, wakirudi tunagongwa 3 kavu.

Vini Jr game moja ni world class inayofuata hajui kabisa mpira, so unreliable. Ujinga mwingi na ugomvi wa kipumbavu sijui atakua lini.
 
Tumecheza vizuri sana, barca wamecheza kwa nidhamu nyuma wamejitahidi kukaba nafasi kuzia zile one two.

Sina nacho wadai tukutane next game inayofata real betis laliga.

Hala Madrid
Kweli Mkuu, jana team ilicheza vizuri., na Barcelona walicheza vizuri sana kwenye idara yao ya ulinzi., acha tuone game ijayo itakuwa vipi., ila ningetamani kumuona Camavinga anaanza badala ya Nacho upande wa kushoto.
Sema Carlo na yeye aache kukaza shingo, kama mtu game imemshinda amtoe tu kuingiza nguvu mpya., sio dhambi kumtoa Vinicius ama Benzema hata kama tupo nyuma., yoyote anaweza kubadilisha mchezo.
 
Nilisema last WK tulipocheza na Liverpool, hii ni RM mbovu zaidi kwa miaka ya hivi karibuni.

Tumeshindwa kuifunga Barca ambayo lewa na Pedri hawapo tena nyumbani, wakirudi tunagongwa 3 kavu.

Vini Jr game moja ni world class inayofuata hajui kabisa mpira, so unreliable. Ujinga mwingi na ugomvi wa kipumbavu sijui atakua lini.
Vinicius Jr amekuwa na utoto mwingi sana kiukweli., hataki hata kuguswa na mchezaji wa team pinzani., Sasa hivi wameshamjua ni mtu wa kupanick so tukiwa na game anakabidbiwa mtu wa kumsumbua tu na yeye anaanza mambo yake ya kupiga kelele, anatumia nguvu nyingi kubishana kuja kushtuka game ipo ukingoni.
Carlo anahitaji kukaa chini na huyu kijana, pia apate washauri wazuri., laa sivyo ataishia hapo alipo.
 
Yaah mkuu ila sina cha kuwaulumu walifanya vile wawezavyo. Kitu ambacho napenda nione kwa vini ni kuachana na mpira majukwaa. Akipigwa kiatu amka cheza.

Mwisho wa siku tulicheza vizuri
 
Mtoto mpumbavu sana yule, kichwani kajaa ujinga tu badala ya kucheza mpira afu akiguswa kidogo tu anakimbilia kusema ubaguzi.

Vini ni Neymar mwingine full of potential but he will never reach his peak asipobadilika.
 
Kama wakiendelea kucheza walivyo cheza jana tuna uwezo wa kupata matokeo kwao.,
Ninatamani kuona kijana akikomaa kiakili., kama hivyo akipigwa buti ama kusukumwa acheze mpira, aache malumbano yasiyo na lazima, unashindwa kuelewa dogo anajibizana mpaka na mashabiki waliopo jukwaani.
 
Nilisema last WK tulipocheza na Liverpool, hii ni RM mbovu zaidi kwa miaka ya hivi karibuni.

Tumeshindwa kuifunga Barca ambayo lewa na Pedri hawapo tena nyumbani, wakirudi tunagongwa 3 kavu.

Vini Jr game moja ni world class inayofuata hajui kabisa mpira, so unreliable. Ujinga mwingi na ugomvi wa kipumbavu sijui atakua lini.
Mmeanza wazee wa kucheki ball livescore.com
 
What's your point au kipi nilichoongea cha uongo?

Hii RM ni mbovu zaidi kwa miaka ya karibuni, unabisha?

Tumefungwa nyumbani na barca bila lewa wala pedri, uongo?

Vini ana ujinga mwingi kuliko mpira, unabisha?

Jenga hoja.
 
Mtoto mpumbavu sana yule, kichwani kajaa ujinga tu badala ya kucheza mpira afu akiguswa kidogo tu anakimbilia kusema ubaguzi.

Vini ni Neymar mwingine full of potential but he will never reach his peak asipobadilika.

Chakushangaza kabisa wachumbuzi wa soka Ulaya na mashabiki wanamzungumza kama mchezaji wa kiwango cha ajabu duniani, huwa wananichekesha sana. Jamaa ndio mchezaji anaepoteza mipira mingu zaidi uwanjani ndnai ya timu. Pasi zake mbovu shuti zake mbovu.
 
Nilisema last WK tulipocheza na Liverpool, hii ni RM mbovu zaidi kwa miaka ya hivi karibuni.

Tumeshindwa kuifunga Barca ambayo lewa na Pedri hawapo tena nyumbani, wakirudi tunagongwa 3 kavu.

Vini Jr game moja ni world class inayofuata hajui kabisa mpira, so unreliable. Ujinga mwingi na ugomvi wa kipumbavu sijui atakua lini.

Vini Jr ni mchezaji wa ovyo sana. I wish Angelivunjika mguu tukapata kupumua kwa muda. Rodrigo akicheza left side anacheza vizuri zaidi kuliko huyu Vini Jr.

Na wapuuzi humu Jamvini niliwahi sema wakati msimu unaanza kuwa timu inahitaji ma forward wakucheza pembeni wakashikilia kuwa hawahitajiki wana Vini Na Pacha wake nahisi kwa sasa wanaowaona vizuri.
 
Vini Jr ni mchezaji mzuri tu, ana uwezo mkubwa pia., sio kwasababu wachambuzi wanampamba ama laa, ila kwa uwezo alionao., ila kwenye uwezo huo huo huyu kijana ana mapungufu yake, na kwa umri wake yanarekebishika, anahitaji Mwalimu tu wa kumwambia Ukweli., kama Raúl ama Zidane, shida yake kubwa kwa huyu kijana imekuwa ni nidhamu tu.,
Pia jambo jingine analohitaji kurekebisha ni mipira ya mwisho., bado anakiwewe ya nini afanye na mpira wa mwisho., ni vitu vidogo vidogo tu atakuwa Sawa.

Kwa upande wa Rodrygo ni kweli yupo vizuri akitokea kushoto., ila yule acha Mwalimu amtumie anavyoona, kwasababu ana uwezo wa kucheza namba yoyote kwenye idara ya ushambuliaji., ni vijana bado wadogo watatufaa sana hapo mbeleni
 
Back
Top Bottom