Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Kweny plot ya Real Madrid na Bayern Munich inatoa Bingwa ila mwaka huu tutaenda kushuhudia finaili nyepesi
6ce1ad0900a34a3b8e60bf65039dfd5d_333589289_222902806910841_3183979339279896969_n.jpg
 
Weka ushahidi hapa sio ngonjera..na mtazidi kuumia mbwa nyie
Mwaka 2019/2020 tulimpiga Madrid nje ndani 2-1 home ,tukaenda kwao tukampiga 2-1 , aggregate 4-2 ...

Madrid akatolewa kwenye mashindano round of 16 ...

Yaliyotokea mwaka Jana kumfunga Madrid 4-3 home ,tukaenda kwake 2-1 ,had extra time ilikuwa kma luck kwao ..

Nasema hivi kama mnaweza nyie mbwa njooni tukutane Tena CL ....ngonja kwanza tumtwange buyern munich harafu tunakuja kuwanyoosha mtaeleza zile goli mbili dakika ya mwisho mlizipataje ..
Screenshot_20230317-155224.jpg
 
Mwaka 2019/2020 tulimpiga Madrid nje ndani 2-1 home ,tukaenda kwao tukampiga 2-1 , aggregate 4-2 ...

Madrid akatolewa kwenye mashindano round of 16 ...

Yaliyotokea mwaka Jana kumfunga Madrid 4-3 home ,tukaenda kwake 2-1 ,had extra time ilikuwa kma luck kwao ..

Nasema hivi kama mnaweza nyie mbwa njooni tukutane Tena CL ....ngonja kwanza tumtwange buyern munich harafu tunakuja kuwanyoosha mtaeleza zile goli mbili dakika ya mwisho mlizipataje ..View attachment 2555377

Inamaana ww kushinda nisawa ukipoteza niluck kwa mpinzani sio
 
Mwaka 2019/2020 tulimpiga Madrid nje ndani 2-1 home ,tukaenda kwao tukampiga 2-1 , aggregate 4-2 ...

Madrid akatolewa kwenye mashindano round of 16 ...

Yaliyotokea mwaka Jana kumfunga Madrid 4-3 home ,tukaenda kwake 2-1 ,had extra time ilikuwa kma luck kwao ..

Nasema hivi kama mnaweza nyie mbwa njooni tukutane Tena CL ....ngonja kwanza tumtwange buyern munich harafu tunakuja kuwanyoosha mtaeleza zile goli mbili dakika ya mwisho mlizipataje ..View attachment 2555377
Ngoja tuone ubabe wenu kwa Bayern...
 
Back
Top Bottom