Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,754
- 6,489
Hivyo vitu vidogo havimpunguzii sifa ya kuwa mchezaji mzuri., bado ni kijana kuna vitu anajaribu kufanya, vinaweza kwenda Sawa ama akaharibu., ninaamini kama akipata msaada mzuri wa kisaikolojia atafikia kiwango chake cha msimu uliopita na hata kupita. Kwenye mpira kunahitajika uvumilivu wakati mwingine., na club inajua hilo haiwezi kufanya makosa kama kwa yaliyotokea kwa akina., Theo Hernandez., Odegaard nk., wale watu na professionals so ninajua wanayafanyia kazi mapungufu yake.Mchezaji mzuri sana? Alafu unasema vitu vidogo? vitu vidogo kwenye mipira 10 anaharibu 9 alafu unasema vitu vidogo?