Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Ndugu wazee, wakati tukirejea kwenye msimu wa mpira baada ya World Cup naomba mnisaidie link ya kutazama mpira online. Ile link ya Domain Seized by Law Enforcement tuliyokuwa tunatazamia mpira imefungiwa rasmi na magaidi. Natanguliza shukrani.
View attachment 2451429

Sikufanikiwa kutazama game hizi game za Friday night changamoto kidogo
Mimi nilifanikiwa kutazama, ila kutokana na uchovu niliokuwa nao sikuweza kuingia humu.,
Team haikuwa na muunganiko tuliouzoea sema ni kawaida haswa kwenye nyakati kama hizi., kidogo kidogo team itaimarika
Jana Courtois ndio alituweka kwenye mchezo.,
 
9f4594f6-a483-4658-9c7a-2344c197182b.jpg

Happy new year hallah Madrid
 
Mimi nilifanikiwa kutazama, ila kutokana na uchovu niliokuwa nao sikuweza kuingia humu.,
Team haikuwa na muunganiko tuliouzoea sema ni kawaida haswa kwenye nyakati kama hizi., kidogo kidogo team itaimarika
Jana Courtois ndio alituweka kwenye mchezo.,
Timu haikucheza friendly matches kipindi cha worldcup

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom