Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,020
- 22,093
Tumejikuta tunalipa pesa nyingi kutoka na team kadhaa kuweka mpunga mrefu pia, sema tu Dogo na Familia yake waliichagua Real Madrid., bado ni mdogo ila ni matumaini yangu kuwa atakuwa bora hapo baadae
Sema perez tangu aikose talent ya neymar hataki tena kufanya makosa kama yale.
Sema ni deal nzuri ukimpata kijana akajituma kwa pesa uliyotoa ni bora kuliko ununue striker wa 200 au 100 tena miaka 25+.
Nacho kipenda Madrid sahivi ni kama vile tunaelekea kwenye kizazi kijacho baada ya miaka 3 tutakua na timu ngumu ya ushindani. Kupitia usajili wa vijana