Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,754
- 6,490
Ni kweli man, tunahitaji mabadiliko haswa upande wa beki ya kulia na winga wa kulia., kwa mipira aliyopewa Militao angekuwa Dani ana Lucas tungepata hata goli.,Kipindi hiki cha kwanza tumezidiwa mbinu, nguvu, kasi na umiliki, mabadiliko yasipofanyika kipindi cha pili tunafungwa.