Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,727
- 6,421
Hii game tulikosa ubunifu kati kati,
Jana sikuweza kujua roles ya Tchouaméni na Kroos uwanjani ilikuwa ni zipi., yaani walikuwa muda mwingi wanacheza upande mmoja, Modrić na mwenzie Valverde haki kadhalika, kwa jinsi team ilivyokuwa inacheza utadhani hawajahi kucheza pamoja., kuna makosa Ancelotti aliyaona ninadhani atayafanyia kazi kwenye game zinazofuata.

