Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,754
- 6,490
HT: Real Madrid 1-0 Cadiz
Defense yetu bado inamatatizo Sana,Sijui ni lini tutapata clean sheet.,
Kwa kweli yaanDefense yetu bado inamatatizo Sana,
hata kipa tulienae kaflop Sana recently [emoji22]
Hii hali inekara sana, kwa kikosi tulichonacho bado sanaDefense yetu bado inamatatizo Sana,
hata kipa tulienae kaflop Sana recently [emoji22]
Bado sana kivip hko kikosi wengi wao ndyo wamebeba uefa,la Liga na wao wanachoka jamanHii hali inekara sana, kwa kikosi tulichonacho bado sana
Kipa kwasasa ninadhani ndio tatizo, kuanzia arejee kikosini baada ya yale majeraha bado hajafika kwenye kiwango chake, kuna goli huwezi kumlaumu, ila kuna goli unaona kabisa alikuwa na uwezo wa kuzuia., acha waende kwanza World Cup, labda wakirudi watapambana, kwasababu kwasasa kila mchezaji alikuwa anawaza kutokuumia ili aende World cupDefense yetu bado inamatatizo Sana,
hata kipa tulienae kaflop Sana recently [emoji22]
Real Madrid-Palmeiras deal for Endrick... pending FIFA's approval
Los Blancos will pay a fixed amount and another amount subject to variables
Tumejikuta tunalipa pesa nyingi kutoka na team kadhaa kuweka mpunga mrefu pia, sema tu Dogo na Familia yake waliichagua Real Madrid., bado ni mdogo ila ni matumaini yangu kuwa atakuwa bora hapo baadaeTunalipa kama €35 hivi zingine ni adds on kufanya deal ifike €60