Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Luka Modric ameturudisha mchezoni na goli la penalty., makosa ya mapema yaliwapatia goli la uongozi Rayo Vallecano
 
Ule mpira usingegusa mkono wa carvajal ulikua unaelekea kwenye six box karibu kabisa na goli. Hapo ball to hand haitumiki ukishika mazingira kama hayo lazima refa afunike
Hizi sheria kwasasa zina utata sana, hebu fikiria unaweza kuruka ama kupiga mpira bila kurusha mikono!? Hiyo balance utaipata wapi!?
 
Back
Top Bottom