Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,727
- 6,421
Halla MadridNi matumaini yangu vijana watakuwa na wakati mzuri, Lengo Kuu ni moja tu USHINDI.
#HALAMADRID
BadoVipi washaanza pre match shows
Kama kawaida, sie tunaongea uwanjani tu.Naona leo ni Real madrid against rest of the world kama kawaida...huwa hatupewi nafasi yakufanya vyema..
Tunadharaulika Sana,Naona leo ni Real madrid against rest of the world kama kawaida...huwa hatupewi nafasi yakufanya vyema..
Mimi nawambia tu sio kwamba mna timu nzuri Sana ,ila kichapo mtakachokutana nacho Leo mtajuta kuingia uwanjani![]()
www.epicsports.online.Madridsta wenzangu mie sina king'amuzi cha DSTV.
Halafu naogopa Panya Road wakati narudi toka kibanda umiza.
Nisaidieni linki nitazame game kwenge simu yangu.