Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,359
Mendy anatutanguliza hapa.,
Real Madrid 1-0 Levante
Real Madrid 1-0 Levante
Mwenyewe niliwaonea huruma, nilikuwa ninatamani tusiwafunge tena kiukweli., ila nikikumbuka hawa jamaa walishawahi kunilaza na maumivu makali baada ya kutufunga msimu uliopita, ninaona ni Sawa tu.,Levante hadi machozi,huruma
Waende tu huko segunda division wakajipange upyaKiukweli hapa tunapasha misuli tu, Hawa Wajamaa ninaona wameshajiamulia kushuka daraja.
Wanadharau sana hao siku unataka jambo lako wanakukaziaSijapenda kabisa Real Madrid kuifunga magoli mengi timu inayopambania kushuka daraja.
Kulikua na ulazima gani, kwani tusingewafunga tungepoteza nini?
Mbona kombe tushabeba!
Sijawahi mwelewa Hazard.Hatma ya hazard haitaki kutegemewa, NI wakuondoka tu
Wanarudi walipo tokaKocha,captain,players wote kilio duh