Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

1652633498314.png
 
Ancelotti hii game ametuhujumu, sijui hata tunacheza formation gani,
Militao na yeye anacheza Kibiti sana
 
Hata kama tunataka kuwabeba hawa jamaa wasishuke daraja, hatuwezi kucheza game mbovu hivi,
Ni kama tunacheza 3 5 2, ila hatusomeki, sioni Lucas Vazquez anacheza upande gani na sehemu gani, yaani kiukweli sielewi elewi., sijui ni nini kinaendelea huko Uwanjani.
 
Luca leo kahamishwa upande, tunawabeba jamaa zetu hawa wabaki
 
Welcome Kylian Mbappe to the winning team:
Screenshot_20220518-070005.png

Goodbye Vini Jr, thank you for your service. All the best in your new endeavor at Juventus.
Screenshot_20220518-070110.png
 
Back
Top Bottom