Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Ancelotti Leo amekuja na line-up., Vp Madrid derby itakuwa vp!?

Real Madrid's XI: Lunin; Lucas, Militao, Vallejo, Nacho; Casemiro, Kroos, Camavinga; Asensio, Rodrygo and Mariano
 
Hatma ya hazard haitaki kutegemewa, NI wakuondoka tu
Ili tusajili winger inahitajika mmoja kati ya Asensio ama Hazard aondoke, Sasa ingekuwa wewe ni Mkurugenzi wa ufundi ungemweka sokoni nani!?
Kwa upande wa Rodrygo bado anahitaji muda, bado ni mdogo na pia hiyo nafasi anayocheza ni ngeni kwake, wakati yupo Santos, alikuwa anacheza winga ya kushoto, dhidi ya Espanyol alicheza upande huo, Leo pia atacheza upande huo, fuatilia utaona impact yake., yeye na Asensio ndio wanaweza kucheza nafasi zote pale mbele bila shida, Sasa huwezi kuona potential kwa kijana mdogo kama huyo!?

Asensio tokea arudi kutoka majeruhi hakuwahi kufikia ubora wake, club bado ina imani nae kuwa ataimarika tena.
 
Hiyo sio siasa, ni philosophy ya club, Real Madrid haisajili tu ilimradi imesajili, kuna vitu vingi vinaangaliwa, suala la pili ni kuwa hatuna uhitaji wa haraka kwenye nafasi hiyo. So relax kijana.

Position moja ambayo amechezwa na wachezaji wa 5 kwenye msimu mmoja na bado imeshindikanwa kupatikana mtu wa uhakika bado unasema kuwa haina uhitaji wa haraka? (Alianza Bale, akafuata Hazard, Asensio, Rodrygo, Valverde)
 
Ili tusajili winger inahitajika mmoja kati ya Asensio ama Hazard aondoke, Sasa ingekuwa wewe ni Mkurugenzi wa ufundi ungemweka sokoni nani!?
Kwa upande wa Rodrygo bado anahitaji muda, bado ni mdogo na pia hiyo nafasi anayocheza ni ngeni kwake, wakati yupo Santos, alikuwa anacheza winga ya kushoto, dhidi ya Espanyol alicheza upande huo, Leo pia atacheza upande huo, fuatilia utaona impact yake., yeye na Asensio ndio wanaweza kucheza nafasi zote pale mbele bila shida, Sasa huwezi kuona potential kwa kijana mdogo kama huyo!?

Asensio tokea arudi kutoka majeruhi hakuwahi kufikia ubora wake, club bado ina imani nae kuwa ataimarika tena.

Asensio na Hazard wote wanatakiwa kuondoshwa.
 
Position moja ambayo amechezwa na wachezaji wa 5 kwenye msimu mmoja na bado imeshindikanwa kupatikana mtu wa uhakika bado unasema kuwa haina uhitaji wa haraka? (Alianza Bale, akafuata Hazard, Asensio, Rodrygo, Valverde)
Mwanzo wa msimu ilikuwa ni Mwalimu tu alikuwa anajaribu kuona kama angeweza kuwatumia mmoja wapo kati ya Bale (hii ndio position yake) ama Hazard, hii ya Hazard ni baada ya kuona Vinicius yupo vizuri kwenye winga ya kushoto., kwa kuwa lengo lilikuwa kujaribu kumrudisha Hazard basi ikabidi amjaribu kucheza winga ya kulia, akafeli, akamrudisha kucheza kama kiungo bado akafeli ndio akaachana na huo mpango akamgeukia Marco Asensio, akacheza vizuri akampa nafasi mpka pale Rodrygo alipokuja kuibuka tena kuchukua nafasi yake, kumbuka Rodrygo amecheza nafasi hiyo chini ya Zidane, kwahiyo sio kwamba tuna uhaba kwenye hiyo nafasi ila ni Mwalimu alikuwa anajaribu silaha zake.
Usisahau pia Lucas Vazquez pia ana uwezo mkubwa sana wa kucheza pia hiyo.,
Halafu man sio lazima tucheze 4 3 3, tunaweza kucheza 4 4 2 pia
 
Jović bench limemharibu, ila Sina uhakika kwasababu hii ni mara ya pili anakosa goli la namna hii, inakuwaje anashindwa kucheap mpira hata kidogo tu.
 
Sijui Ni Mimi TU nnaeona hili tatizo au vipi,?
Sikuhizi Madrid inacheza Sana kwenye half yake, na sio kwa adui. na mashambulizi yanakua ya manati Sana.

Anashambulia anapokua keshafungwa tayar.

Naona Kama anceloti anacheza mchezo wa morinho kupaki Basi na kushambulia kwa kushtukiza, hii approach sio ya kuaminika kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom