Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

If you don't know now you know
Screenshot_2022-05-17-19-10-12-60.jpg
 

Real Madrid vs Betis - Official line-ups​

Real Madrid: Courtois; Carvajal, Nacho, Militao, Mendy; Casemiro, Kroos, Modric; Rodrygo, Vinicius, Benzema
 
Baadae saa 2 usiku huu, team yetu ya Basketball itakuwa inacheza dhidi ya Anadolu Efes, kwenye michuano ya Euroleague.,
Vijana wa Pablo Laso wanatafuta kikombe cha 11.
Hii ni mara ya Tano, team ya mpira wa miguu na kikapu kufika final ndani ya msimu mmoja.
 
Hii ndio shida ya wazazi wako na familia kufanya maamuzi kwenye kila jambo lako

Wazazi wanaangalia utajiri tu bila ya individual achievement ya mtoto wao
Mama yake Dogo anaonekana anapenda mkwanja sana, kwasababu alitaka kulipa commission fee, na ishu hii ndio ilisababisha tukawakosa Neymar na Haaland, halafu ukizingatia mkono wa Serikali ya Ufaransa na Qatar plus UEFA, ilikuwa ni ngumu sana kutoboa kwenye hii ishu.
 
Back
Top Bottom