Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,359
Jana ilikuwa ni kuhitimisha ushindi wa Ligi, Sasa tunahamishia juhudi zetu na mawazo yetu hapo Jumatano kwenye Champions League dhidi ya Manchester City.,
Tatizo beki aisee, na hivi Cancelo na Grealish ndani ya nyumba. Tuna kazi kwelikweli!Jana ilikuwa ni kuhitimisha ushindi wa Ligi, Sasa tunahamishia juhudi zetu na mawazo yetu hapo Jumatano kwenye Champions League dhidi ya Manchester City.,
Siku za hivi karibuni tumekuwa na shida sana kwenye upande wa Ulinzi, Militao na mwenzie Alaba wamekuwa na makosa ya kujirudia sana, wakati msimu unaanza walikuwa na tatizo hili baadae wakajirekebisha, ni matumaini yangu kuwa wakajirekebisha tena wakati huu tunakabiliwa na mechi ngumu na muhimu.,Tatizo beki aisee, na hivi Cancelo na Grealish ndani ya nyumba. Tuna kazi kwelikweli!
Mpaka walipofikia sio mbaya sana,ila ni ukweli acha tuone msimu ujao utakuwa vp kwa hawa vijana, Ceballos ninaona ameimarika sana siku za hivi karibuni kwenye nafasi alizopewa kucheza, ninadhani club itambakisha, ana uwezo mzuri tu, tatizo ni kutengeneza hatari kwa adui ndio bado hilo eneo hajalifanyia kazi, ila dirty game pale kati anaiweza.Bado msimu mmoja tuone kama wata deliver. Natamani waendelee kupewa muda zaidi wa kucheza. Nafikiri hizi game zilizobaki laliga zinawatosha.
Wish nije nione timu iko na cebalos, Valverde, camavinga, rodrigo, vin



Umeipata hii taarifa kwenye chanzo gani cha Habari Mkuu, labda kama anapiga club mkwara isisajili mbadala wake, japokuwa sina uhakika na hilo, acha tuone, kama kuna ukweli hizi habari zitatufikia tu.Kuna taarifa ya casemiro kuondoka,hii ikoje wakuu?
Kama kocha atakuja kusoma huu ushauri basi mnaenda kuoga magoli mengi ,kwa hiyo mnataka kupark bus ,Alaba anaweza ukosa mchezo wa kesho. Nacho mzee wa kuchomesha atacheza kama mbadala. Tunahitaji kucheza kwa kujilinda tukifanya mashambulizi ya kustukiza ya uhakika.
Tukiwa na casemiro kroos na modric huku valvelde akicheza kama mid field ya juu namba kumi kazi ya kiungo itakuwa imeisha.
Kisha baadae dogo camavinga aingie



mtasakwa kokoto mliko ,mashimoni ,chini ya uvungu ,kitandani ,kila vitobo movement za Mahrez ,kDB ,benardo Silva ,foden zitawatafuta mpaka mtaachia tu goli 



Yeah, Alaba amejumuishwa kwenye kikosi ila kwa hali aliyonayo hataweza kucheza hiyo kesho, kwahiyo hapo tupo na Nacho., hopefully atakuwa na mchezo mzuri.Alaba anaweza ukosa mchezo wa kesho. Nacho mzee wa kuchomesha atacheza kama mbadala. Tunahitaji kucheza kwa kujilinda tukifanya mashambulizi ya kustukiza ya uhakika.
Tukiwa na casemiro kroos na modric huku valvelde akicheza kama mid field ya juu namba kumi kazi ya kiungo itakuwa imeisha.
Kisha baadae dogo camavinga aingie
Mchukueni na Ramos kabisaVamos Real Madrid, Vamoos
Binafsi naona Camavinga anakuwa ni mzuri akianzia benchi,ni kama Ozil enzi zile...hapo kwa Nacho ndo tumbo joto,hope atafanya vyema...Yeah, Alaba amejumuishwa kwenye kikosi ila kwa hali aliyonayo hataweza kucheza hiyo kesho, kwahiyo hapo tupo na Nacho., hopefully atakuwa na mchezo mzuri.
Casemiro atakuwepo hiyo kesho, so mtihani kwa Ancelotti ni kwamba aanze na Rodrygo ama Valverde!? Hicho ni kitendawili ambacho atakitegua Mzee mwenyewe.
Nilitamani Camavinga aanze badala na Kroos, ila sioni hilo lilitokea, na pia ninaona Valverde akianza mbele ya Rodrygo.! Kwa vyovyote vile Tumaini ni moja tu USHINDI.
#HALAMADRID
Alaba ana anza leoBinafsi naona Camavinga anakuwa ni mzuri akianzia benchi,ni kama Ozil enzi zile...hapo kwa Nacho ndo tumbo joto,hope atafanya vyema...