Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Madrid kashinda kwa aggregate
Unaniangusha rafiki, michuano ya EUROPA & UEFA ikishafika hatua ya 16 bora matokeo yoyote yale yatakayopatikana eidha kushinda au kufungwa - kutolewa au kufuzu huwa ni aggregate, fainali ndo haina aggregate sababu ni mechi moja tu

CAF Champions League zamani ndo walikuwa wanacheza mechi mbili hadi fainali "aggregate", walifuta huo utaratibu miaka michache iliyopita na sasa fainali ni mechi moja tu

Aggregate: (Sports) The total score in a set of games between teams or competitors, usually the combination of the home and away scores
 
Madrid mumepita kwa bahati sana, tena baada ya Chelsea kuchoka kwa wakati wanaupiga mwingi.

Goli la ushindi limepatikana kutokana na uzembe uliosababishwa na uchovu.

Beki wa Chelsea amempasia mwenzio mpira ila amenyang'anywa miguuni mwake hata hajafanya juhudi za kurejesha. Alipopasiwa Vinijr alikuwa ana nafasi huku mabeki wakikimbilia nyuma badala ya kumkaba, hapo hapo Benzema akawa ameachwa akatanua nafasi nyuma kidogo na Vinijr akamuona na kumpa mpira kwa juu, kazi ikawa imeisha.

Naungana na Ancelloti amesema uchovu wa Chelsea umempatia ushindi.
Team fitness ni sehemu ya ubora wa timu.. Kama huwezi kuhimili mchezo kwa muda wote wa mchezo basi huna ubora... Sioni bahati ni ipi hapa...

Usisahau pia Chelsea alifungwa kwao na mshindi anaamuliwa kwa michezo miwili
 
Madrid mumepita kwa bahati sana, tena baada ya Chelsea kuchoka kwa wakati wanaupiga mwingi.

Goli la ushindi limepatikana kutokana na uzembe uliosababishwa na uchovu.

Beki wa Chelsea amempasia mwenzio mpira ila amenyang'anywa miguuni mwake hata hajafanya juhudi za kurejesha. Alipopasiwa Vinijr alikuwa ana nafasi huku mabeki wakikimbilia nyuma badala ya kumkaba, hapo hapo Benzema akawa ameachwa akatanua nafasi nyuma kidogo na Vinijr akamuona na kumpa mpira kwa juu, kazi ikawa imeisha.

Naungana na Ancelloti amesema uchovu wa Chelsea umempatia ushindi.
Goli lilipatikana kwa kumgonga mtu kwenye tumbo pasina yeye kujua kinachoendelea? au mchezaji wa timu pinzani alijifunga? kuita ushindi wa sweat, blood and tears wa "bahati sana" kwa maoni yangu si sawa - naheshimu maoni yako

Yawezekana kuwafanya wachoke ilikuwa ni tactic ya CARLO

Kwenye ulimwengu wa michezo kumchosha mpinzani/mshindani wako kisha kutumia udhoofu wake huhesabika ni mbinu na si bahati, jikumbushe na pambano la MUHAMMAD ALI na GEORGE FOREMAN maarufu kwa jina 'rumble in a jungle' lililopigwa ZAIRE miaka ya 1970

Lakini pia, mechi ya kwanza uwezo na mbinu zilijieleza, jaribu kuwa fair kwenye kulizungumzia hili suala
 
Madrid mumepita kwa bahati sana, tena baada ya Chelsea kuchoka kwa wakati wanaupiga mwingi.

Goli la ushindi limepatikana kutokana na uzembe uliosababishwa na uchovu.

Beki wa Chelsea amempasia mwenzio mpira ila amenyang'anywa miguuni mwake hata hajafanya juhudi za kurejesha. Alipopasiwa Vinijr alikuwa ana nafasi huku mabeki wakikimbilia nyuma badala ya kumkaba, hapo hapo Benzema akawa ameachwa akatanua nafasi nyuma kidogo na Vinijr akamuona na kumpa mpira kwa juu, kazi ikawa imeisha.

Naungana na Ancelloti amesema uchovu wa Chelsea umempatia ushindi.
Duh! 😳 Mkuu miaka hii bado tu tunaamini Madrid anapita kwa bahati 🤔
 
Unaniangusha rafiki, michuano ya EUROPA & UEFA ikishafika hatua ya 16 bora matokeo yoyote yale yatakayopatikana eidha kushinda au kufungwa - kutolewa au kufuzu huwa ni aggregate, fainali ndo haina aggregate sababu ni mechi moja tu

CAF Champions League zamani ndo walikuwa wanacheza mechi mbili hadi fainali "aggregate", walifuta huo utaratibu miaka michache iliyopita na sasa fainali ni mechi moja tu

Aggregate: (Sports) The total score in a set of games between teams or competitors, usually the combination of the home and away scores
Tangu Chelsea alivyofight hadi akatoka kwa aggregate, nimeona hii sheria bora ifanyiwe marekebisho/kufutwa na iwe kama ifuatavyo:

Timu ikishinda H halafu ikashindwa A, waende Extra Time, matokeo yakibaki vilevile(bila kujali magoli) Penati zipigwe. Mfano ilivyokuwa kwa Chelsea iliposhinda A na R. Madrid ikashinda A.

Endapo timu moja ikashinda H na A au ikadroo A(kama M City vs ATM) hapo inakuwa imeshinda kiroho safi na kinyume chake.

Zikidroo H na A, ziende extra time, matokeo yakibaki yaleyale(droo), penati ziamue mshindi.

Hapa mnaonaje wakuu? ili tuache kuzingatia magoli(aggregate)
 
Timu inahitaji kocha hii.
Matokeo mengi tunayopata ni juhudi za mchezaji mmoja mmoja. Stail ya mchezo ni hovyo.
 
Jumba limeungua, defense ilijisahau sana, RB ya uhakika hatuna na kituko kwamba Carvajal anacheza LB. Kipindi cha pili Sevilla wanakuja kujilinda lakini tusijisahau kushambulia tu tunatakiwa tuwe makini na counter. Lakini kuna kitu kinaniambia matokeo haya sio ya dakika 90. Tusubiri tuone
 
And the comeback is complete
 
Back
Top Bottom