Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hilo linafahamika, kwenye scale ya 1 - 10 ya kushinda mechi ya leo nawapa 3, kwenye scale ya 1 - 10 ya kufuzu hatua inayofuata nawapa 2, karibu Bernabeu saa 2200
Huu ni uchawi Sasa ..subiri tuje apo bernabeu tuwakalishe.
#CFC💙💙💙
 
HT: Hadi sasa tumecheza hovyo,kwa sababu tumeingia na kiburi cha goli 2 mbele,hatujapiga shoti lililolenga goli hata moja,counter attack hatupigi tumepooza sana..kama tulisobadilika kipindi cha pili tutapigwa mbili hapa na habari iwe imeisha hapa..huyu Nacho mzee wakukaba kwa macho bila kumuwekea backup plan ataendelea kutuchomesha.
 
Usijali, kipindi cha pili chelsea anaongeza 2 tuu hvy usiumie sana hatufungi mengi sana zaidi ya matatu.
 
Sijapenda approach yetu kwenye mechi ya leo, alichofanya leo King Carlo ndo kilekile alichokifanya kwenye mechi ya kwanza dhidi ya PSG, na bora hata ile kwa sababu tulikuwa AWAY kujihami ni muhimu - dakika 90 tulikuwa na attempt 'on target' moja tu, leo tulikuwa HOME sikuona sababu ya kutojiamini, ukizingatia hatma ya kufuzu kwa 75% tulikuwa nayo sisi - tulishinda AWAY kwa wastani mzuri wa magoli, yote kwa yote tumefuzu, hongera kwa Madridista wote
 
Back
Top Bottom