Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Japo sijapenda approach yetu kwenye mechi ya leo, alichofanya leo King Carlo ndo kilekile alichokifanya kwenye mechi ya kwanza dhidi ya PSG, na bora hata ile kwa sababu tulikuwa AWAY kujihami ni muhimu - dakika 90 tulikuwa na attempt 'on target' moja tu, leo tulikuwa HOME sikuona sababu ya kutojiamini, ukizingatia hatma ya kufuzu kwa 75% tulikuwa nayo sisi - tulishinda AWAY kwa wastani mzuri wa magoli, yote kwa yote tumefuzu, hongera kwa Madridista wote

Yaah aliingia na mbinu ile ile ambayo Chelsea na kocha wake walikua wameisha ipigia msuli. Wametupa wakati mgumu sana.

Kikubwa chama limesonga ata tukifungwa mbele ya safari ni sawa. Ata city atupigenje ndani ni sawa. Ila sio dharau na midomo ya Chelsea
 
I wish City akwame kwa ATM huyo ni my wetu hua tunajipigia
 
Ule mfumo wa Simeon kupaki bus ,watu 10 wanadefend ndani ya box ,harafu wapige come back kwa city

Wewe unaota ....Bora wangekuwa wanafunguka na kucheza ....
Muulize Munich atakwambia siri ya kupaki ABOOD😂, this ia football bwana.

Kwa jinsi walivyowa-hold nyumbani kwenu, amini kwamba kwao hamtafua dafu.
 
Yaah aliingia na mbinu ile ile ambayo Chelsea na kocha wake walikua wameisha ipigia msuli. Wametupa wakati mgumu sana.

Kikubwa chama limesonga ata tukifungwa mbele ya safari ni sawa. Ata city atupigenje ndani ni sawa. Ila sio dharau na midomo ya Chelsea
Sure, na hilo ndo la msingi, CITY wana mashabiki wachache sana, na uzuri wengi wao siyo mavuvuzela
 
Kikubwa chama limesonga ata tukifungwa mbele ya safari ni sawa. Ata city atupigenje ndani ni sawa. Ila sio dharau na midomo ya Chelsea

Madrid mumepita kwa bahati sana, tena baada ya Chelsea kuchoka kwa wakati wanaupiga mwingi.

Goli la ushindi limepatikana kutokana na uzembe uliosababishwa na uchovu.

Beki wa Chelsea amempasia mwenzio mpira ila amenyang'anywa miguuni mwake hata hajafanya juhudi za kurejesha. Alipopasiwa Vinijr alikuwa ana nafasi huku mabeki wakikimbilia nyuma badala ya kumkaba, hapo hapo Benzema akawa ameachwa akatanua nafasi nyuma kidogo na Vinijr akamuona na kumpa mpira kwa juu, kazi ikawa imeisha.

Naungana na Ancelloti amesema uchovu wa Chelsea umempatia ushindi.
 
Sasa mbona unaelezea mechi ambayo kila mtu aliona. Afu nikumbushe tuu chelsea ndio aliyeshinda sio Madrid.

Ayo ya bahati utajua wewe. Mpira ni mchezo wa makosa hakuna goli linalofungwa pasipo makosa.

Mengine utajua wewe kikubwa chama liko nusu fainali ya 10 ndani ya miaka 12 hizo bahati utajua wewe
 
Madrid kashinda kwa aggregate
 
Barcenyeto huko
IMG-20220415-WA0010.jpg

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom