Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Siwezi mlaumu don Carlo kwa namna yoyote ile. Kuelekea mwisho wa msimu timu yetu huwa inafanya rotation moja kali sana ya wachezaji kuanzia defenders, goalkeeper, milldfielders na last thirds. Ila sasa msimu huu rotation haeleweki. Siri ya 3 UCL back to back ilikuwa ni rotation nzuri ilifanyika kipindi kile cha don carlo na kipindi cha zizou. Ili tusichoke na kupoteza focus ya la liga tittle na Mwali wetu UCL rotation inahitajika haraka sana kwenye izi mechi za la liga
 
Ukiwa pale kwenye dimba la Santiago mpira tunasema hua ni dakika 90.

Wakati timu pinzani zinamaliza mechi na pumzi kukata, Madrid hua ndio kumekucha na mpira unapigwa mwingi sana.

Tumebakiza mechi 6 zenye points 18.
Tunahitaji point 9 kutangazwa mabingwa wapya wa Liga.
 
Tunaitaji point 10 chief afu game ya jana tulikua away. Inayofata tunaenda away then tunarudi home. Tukikunja hapo 6 basi shughuli imeisha
 
Tangu Chelsea alivyofight hadi akatoka kwa aggregate, nimeona hii sheria bora ifanyiwe marekebisho/kufutwa na iwe kama ifuatavyo:

Timu ikishinda H halafu ikashindwa A, waende Extra Time, matokeo yakibaki vilevile(bila kujali magoli) Penati zipigwe. Mfano ilivyokuwa kwa Chelsea iliposhinda A na R. Madrid ikashinda A.

Endapo timu moja ikashinda H na A au ikadroo A(kama M City vs ATM) hapo inakuwa imeshinda kiroho safi na kinyume chake.

Zikidroo H na A, ziende extra time, matokeo yakibaki yaleyale(droo), penati ziamue mshindi.

Hapa mnaonaje wakuu? ili tuache kuzingatia magoli(aggregate)

Vema, umethubutu kufikiri nje ya boksi, nimependa
 
Siwezi mlaumu don Carlo kwa namna yoyote ile. Kuelekea mwisho wa msimu timu yetu huwa inafanya rotation moja kali sana ya wachezaji kuanzia defenders, goalkeeper, milldfielders na last thirds. Ila sasa msimu huu rotation haeleweki. Siri ya 3 UCL back to back ilikuwa ni rotation nzuri ilifanyika kipindi kile cha don carlo na kipindi cha zizou. Ili tusichoke na kupoteza focus ya la liga tittle na Mwali wetu UCL rotation inahitajika haraka sana kwenye izi mechi za la liga

Mkuu Rotation inataka squad imara, Hiyo Real unayoizungumzia ilikua na squad pana sana, ya sasa ni majanga matupu, acha wazee wafie uwanjani tu.
 
Sasa Real Madrid inahitaji point 7 tu kuchukua ubingwa, na hii inawezekana kutokea kwenye matchday 35 Wanda Metropolitan stadium, against Atletico. Yaani ikitokea hii ubingwa wa msimu huu utakuwa mtamu sana. Yaani unampiga Atleti na kutangaza ubingwa 🏆
 
Unamaanisha katika mechi nne zilizobaki (34/38) tunatakiwa tushinde mechi tatu mfululizo na tupoteze moja tu?

Duh... Kazi ipo bado kumbe.
 
Back
Top Bottom