Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Tunaitaji 1 win na at least sare 1 kwa mechi 5 zilizobaki. Kama wanaotufata hawatapoteza.
 
Huyu dogo ifike mahali waachane nae tu. Anakua pasua kichwa sasa
Screenshot_20220422_131752.jpg
 
Naunga mkono abaki hapo hapo psg yeye sio madrid. Tumwamini rodrygo tunaweza pea mleta diaz kutoka milani akaongeza nguvu.

Au tutafute winga mwingine tumtengeneze
Madrid hatujazoea kuendeshwa na wachezaji. PSG wanamnyenyekea hadi kawa spoiled. Sijawahi kuona timu inakomaa na mchezaji hadi inampa blank check, ndio nimeona kwa hawa jamaa. Alafu wanampa uhuru wa kuamua anachotaka. Kwasasa ashaingia tamaa ya pesa kuliko malengo.

Abaki huko huko aendelee kubeba vikombe vya ligi na baada ya seasons kazaa atakua kasahaulika kama Neymar tu.
 
PSG ni washamba tu, Na ndio mana wanapigwa pesa sana na wachezaji wa mchongo
 
Back
Top Bottom