Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hata sisi hatujawahi kutolewa na Real madrid kwenye mashindano official.

Hizo record uchwara weka pembeni.

Tutakutana Uwanjani.
Angalia vitu hivi mdogo wangu...usikaze ubongo sana,nenda kwa takwimu
Screenshot_20220318-153454_Chrome.jpg
 
Oyaa nasikia tunepewa nyie tena hahaha ..ngoja nicheke kwanza hahaha😂😂😂
 
Sijapita humu kitambo ..Sasa ni wakati wa kuwasagia kunguni nyie takataka hahaha ngoja nicheke kwanza hahaha😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom