Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Our starting XI for today match vs Barcelona
1647801556215.png
 
Kimsingi hadi dakika hii tumezidiwa kimbinu,wanapress kubwa kuliko sisi...tunalalamika sana na hatuna muunganiko...yaan kwa ujumla timu imezubaa..
 
Ule upande wa Nacho siyo tu haushambulii hata kukaba haukabi..hii beki yao yakulia inajipitia tu kule..
Dembele anamfanya anachotaka, hata goli la kwanza limetokea upande wake, nimeshangaa badala aende kumbughudhi Dembele asipige mpira yeye akamwachia nafasi.,
 
Back
Top Bottom