Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Dembele anamfanya anachotaka, hata goli la kwanza limetokea upande wake, nimeshangaa badala aende kumbughudhi Dembele asipige mpira yeye akamwachia nafasi.,
Si ndo hapo man...katoka nae juu huko anafika maeneo ya hatar anamuacha....huyu Nacho me sijawah mkubali hata kidgo..ni mchezaji wa kawaida sanaaaaaa
 
Ila kiukweli team imepwaya sana, kwenye kiungo nilidhani tutapata advantage ya kucheza Wanne kumbe ni shida tu, kama inawezekana Kroos apumzike aingie Camavinga ili tuweze kutengeneza mipira vizuri kutokea kati kati.,
 
Si ndo hapo man...katoka nae juu huko anafika maeneo ya hatar anamuacha....huyu Nacho me sijawah mkubali hata kidgo..ni mchezaji wa kawaida sanaaaaaa
Kupitia academy ya Real Madrid na heshima yake kwa club ndio inambeba, ila huwa anatabia ya kukaba kwa macho sana.
 
Back
Top Bottom