Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,360
Benzemaaaa.., Goooooal
Kesho mapema tu tutajua tutakayekabiliana nae., kwa jinsi ilivyo ninashindwa hata kubashiri,
Expect Bayern Munich wengine waje tuSijui tutapangiwa timu gani... Bora watupe Benfica.
Kama tuna nia ya kuchukua ubingwa, hakuna haja ya kuchagua team ya kukutana nao, aje yoyote.Sijui tutapangiwa timu gani... Bora watupe Benfica.
Chelsea tu anaweza kukuchapa nje ndani kama mbwa KokoExpect Bayern Munich wengine waje tu



