Kila mmoja analalamika, kuanzia Rais mpka mashabiki, nikiangalia baada ya kipindi cha kwanza sikuona hatari yoyote kutoka kwao na bado walitegemea sisi tusiwafunge!?PSG safari imewakuta hawataki kuamini
Wanadai kuwa kile alichofanya Benzema kwa Donnarumma ilitakiwa iwe foul, so lile goli ni batili, Sasa sijui walitaka Benzema afanye nini pale.,Alimfanyia madhambi kivipi?
Pole yao! Ndiyo soka ilivyo wajipange next timeWanadai kuwa kile alichofanya Benzema kwa Donnarumma ilitakiwa iwe foul, so lile goli ni batili, Sasa sijui walitaka Benzema afanye nini pale.,
Ni kweli, ukizingatia kuwa weekend hii tunakipiga dhidi ya BarcelonaLeo tunapaswa tushinde hii game tuheshimiane
Tupe updates leo nipo mbali na TVBenzema na Vinicius ninaona sasa kila mmoja anaelewa movement za mwenzie, bado upande wa kulia hauja-click, ninadhani ni kwasababu bado Mwalimu hana mtu wa kudumu upande huo., ila so far vijana wanafanya vema
Real Mallorca 0-1. Real MadridTupe updates leo nipo mbali na TV