Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Chelsea wanakaba Sana eneo lao na pembeni mwa wings zenu ndio maana mnaonekana useless na kupiga back pass nyingi
 
Sasa hazard anafanya nini huku ndani kumanina...

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣 Unaanza kuwakataa wachezaji Wako hiyo ndio Chelsea leo Tuchel kaja na mbinu ya kuwaachie mcheze nyinyi ili mtengeneze space ya Chelsea kupiga counter attack na nyinyi mmeingia kwenye mtego wake
 
Mmeona usindikzaji wa hizi beki? Kipa katoka kadhibiti myanya ya goli,ila beki zimesimama tu bila kufanya marking,zinasubiri mpaka mchezaji anajipanga.Isingekuwa kukosa umakini kwa Chelsea ilitakiwa tuwe tumefungwa goli tano mpaka Sasa.

Goli lenyewe ni matokeo ya back passes.
 
Back
Top Bottom