Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,360
Kumbe unamzungumzia bahati na sio mpira,Kusema kweli Madrid hamna bahati leo. Mkae mkijua CHELSEA tuna jambo letu.
Kumbe unamzungumzia bahati na sio mpira,Kusema kweli Madrid hamna bahati leo. Mkae mkijua CHELSEA tuna jambo letu.
Download app ya live football hiyo apoMwenye link au application inayoonesha mpira aweke jina hapa wakuu

Mwenye link au application inayoonesha mpira aweke jina hapa wakuu
foot4live.com
Tuna shida upande wa beki kweli man, kwasababu tuna mtu kama Marcelo hashambulii wala hakabi, hapo ndipo tunapopata tatizo kwasababu Nacho inabidi apande tena wakati hana speed na Chelsea wana vijana wenye speed so tatizo linaainzia hapo.
MmekamatwaTuna shida upande wa beki kweli man, kwasababu tuna mtu kama Marcelo hashambulii wala hakabi, hapo ndipo tunapopata tatizo kwasababu Nacho inabidi apande tena wakati hana speed na Chelsea wana vijana wenye speed so tatizo linaainzia hapo.
Upande wa Dani na Militao pia kuna shida kwasababu mfumo unampa SHIDA Dani, upande wake yupo yeye na Modric na Militao ila mpaka sasa modrić na Militao ndio wanaonekana kufanya vema yeye akiwa kama pambo tu.
Ninadhani Zidane ameona shida na ataliweka hilo Sawa kipindi cha pili
Kante anaonekana kucheza vema kati kati ya uwanja, ni kwasababu sie hatupitii kati kati, ukiangalia hapo kati yupo Casemiro peke yake Toni na Luka wapo kwenye wings wakisaidia na wings back wetu huku Benzema na Vinincius wakitakiwa kuwa kati kati ndio maana unaona mfumo haupo Sawa., nafasi ya Vinincius anatakiwa awepo Marcelo ili apeleke mipira kitu ambacho hafanyi na mwezie Dani, so hapo ndio tulipokwama mpaka sasa.HT:Hatukucheza kuonyesha tuna mipango,timu imepwaya...kuanzia eneo la beki,Nacho hajui anafanya nini humo ndani kila mpira unaotoka kwake au kwenda kwake lazima mtu mzima ubinye zaga,eneo la kiungo hakuna uhai...timu haionekani kama kuna muunganiko wakupossess mpira kwa haraka ili kufika eneo la adui...jamaa wana kazi kuliko sisi kante kafanikiwa sana kuharibu hapo kati.
Sishauri mabadiliko ya haraka kipindi cha pili ila ni wachezaji wabadili fikra hii mechi ni muhimu kushinda kwa goli kuanzia tatu.
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app