Kwa muda mrefu nimekua nikisikiliza wachambuzi wa vipindi vya michezo Tanzania, wengi wao kama sio wote hua hawaikubali Madrid kama inaweza kuchukua kikombe chochote.
Hata zile back to back to back wachumbuzi wengi walikua hawaisemi wala kuipa nafasi Madrid na hata mechi dhidi ya Atalanta na Liverpool wachambuzi wa Tanzania walisema tutaondolewa kwenye michuano.
Ni kwamba hawaujui ubora wa Madrid au mahaba yanawapa Upofu?
Ukiwapa jina la wachambuzi utakuwa unawapa cheo kikubwa sana, ni wasimuliaji wa matukio yaliyotokea uwanjani, ila hawapo technical na hawapo well informed, sana sana wanachoweza ni kuzungumzia team za Uingereza kwanza kishabiki. Kwahiyo usitegemee kupata technical analysis kutoka kwao haswa kwenye team za nje ya England.
Unamsikiliza mtu anaongea unaamua kuzima radio kwa kuwa unaona unajua kuliko yeye., ninataka waendelee hivi hivi ku underate team yetu ili wajifunze kufuatilia mambo.
Upo sahihi sana,hawa wasimuliaji wa matukio akili yao siku zote na wakat wowote wanajua timu za uingereza ndio bora wakat ukwel siyo,cha pili mara zote madrid huwa haipewi nafasi yakushida kwa sababu wanaongozwa na mihemko hawaangalii ubora wa timu ya madrid wanaangalia namna gan timu inayocheza na madrid inavyofunga magoli bila kuangalia namna gan madrid inaweza kuzuia nakufunga,na hiki ndio kilichowapata Juventus,Atletico and Liverpool na pia ndio kitachowatokea ambao tutaingia nao fainal.
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Hao wanaijiita wachambuzi si wachambuzi bali ni washabiki wa EPL, upeo wao upo very limited na nje ya ligi yao pendwa, hua wanaishi kwa mihemuko tu. Mimi sipotezi muda wangu kabisa kuwasikiliza