Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Jamaa walicheza vizuri sana kiukweli, na Courtois tu alikuwa makini wangeweza kupata goli, Sasa hapa tujipange namna ya kucheza na Chelsea tu week ijayo, ninaona game kama hii kutoka kwa Betis,
Nina tumaini Zidane ataongea na vijana wake kabla ya game, vijana wanakuwa na haraka sana wanapofika 3/4 ya eneo la upinzani.
 
6 finals left
IMG_20210425_194335_919.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nitakua upande wa spain na sio madrid

I wish kombe liende Man city/kwa pep, na sio madrid, psg wala chelsea.
 
Back
Top Bottom