Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

🚨🚨😱 BREAKING: All Champions League and Europa League games have been temporarily cancelled.

There will be an extraordinary meeting from UEFA tomorrow and PSG could be crowned UCL champions.

[via BBC Sport]
Hapa nahisi PAPA PEREZ ndo mchokoza mada afu anataka ingiza chaka watu. Barca rais wao kabadili gia angani kama LIPUMBA
 
🚨🚨😱 BREAKING: All Champions League and Europa League games have been temporarily cancelled.

There will be an extraordinary meeting from UEFA tomorrow and PSG could be crowned UCL champions.

[via BBC Sport]
Hapa nahisi PAPA PEREZ ndo mchokoza mada afu anataka ingiza chaka watu. Barca rais wao kabadili gia angani kama LIPUMBA
Huko Ulaya Kimeumana, hii ishu ya Super league ni ya muda mrefu sana Perez yeye alikuja kuongezea petrol tu kwenye moto, na ishu kubwa hapo ni fedha, UEFA wanachukua mpunga mrefu sana kwa Wadhamini na ishu ya baadhi ya vilabu kupush fedha iongezeke imekuwa shida so jamaa wameamua kuingia upande wa pili, nimeona kuwa waanzilishi wa hii kitu watapata. €3.5B
Hiyo ni pesa ndefu sana kiukweli, kwanini wasishawishike kufanya hivyo
 

Florentino Perez, first Super League chairman

Kwenye pesa ndipo akili na Florentino ilipo, acha tuone hili saga litaisha vp kwanza tukizingatia kuwa Uefa wapo kwenye kikao muda huu
 
Baada ya ESL kukwama naona maamuzi ya ndani ya uwanja kuwa yakikatili sana kwa upande wetu.
Papa Peres kakichafua au kutingisha kiberiti kunaweza leta impact yoyote ndani ya uwanja.
Sidhani kama kutakuwepo na impact yoyote, hata hivyo hakuna favor tunayopata sio kwenye UCL ama La Liga. Suala la msingi ni kuwa na kikosi bora tu tutaenda nao Sawa hao majamaa., Ishu ya European super league sio ya Real Madrid pekee japokuwa sie tuna mchango mkubwa kwenye uundwaji wake., acha tuone itakavyokuwa huko mbeleni
 
Sema hili swala ni kuwa kama ikitokea hivi vilabu 12 vikapewa adhabu,basi vilabu vilivyobaki navyo vikidinda kuungana na hivi 12 ni wazi UEFA watapata shida sana na ni wazi kuwa watakubaliana na madai ya wote.

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Sina uhakika kama kutakuwepo na adhabu yoyote kwa vilabu vilivyo taka kuunda Super league, mihemko ilikuwa mingi sana ati Rais wa UEFA anasema kuwa atafungia wachezaji kucheza World cup, kwa uwezo upi? Kuwapa adhabu ni kama kuongeza petrol kwenye moto, sio ajabu ndio watawapa sasa uhalali wa kuunda hiyo Super league
 
Our first eleven for today match ;
Thibaut Courtois; Alvaro Odriozola, Eder Militao, Raphael Varane, Nacho, Marcelo; Casemiro, Antonio Blanco; Rodrygo, Karim Benzema, Vinicius
 
Back
Top Bottom