Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Wakuu nimeshindwa kuvumilia.

Siwezagi kutazama mechi muhimu ya timu nayoshabikia bila kuwa na pressure sana. Moyo unakua unadunda.

Halafu nikiangalia Ramos hayupo.
Carvajal hayupo. Vasquez hayupo.
Varane mzee wa maboko hayupo.

Niimeenda kibanda umiza nimekaa dakika tano tu kabla hawajaanza kuchangisha kiingilio nikasepa.

Niko tayari kupokea matokeo yoyote nikiamka asu

Pamoja na injuries, covid-19, lakini still players are delivering, congrats guys we are appreciating your efforts, for today game i can say it's a big win, especially at anfield...
Tuchel boys we're coming 🤞✊
Team kwasasa imejengeka vyema sana kiukweli, tuna shida tu upande wa ushambuliaji kwa kuwa nafasi tunazopata hatuzitumii vema, ila jana team ilicheza kwa nidhamu kubwa sana, niliona ni Sawa tu tulivyocheza vile kutokana na fatigue ya wachezaji wetu, kwenye game dhidi ya Barcelona walitumia nguvu kubwa sana.
Tumevuka hii round sasa ache tukae chini tuone hao Chelsea tutakipiga nao vp, ninadhani wachezaji kadhaa watakuwa wamerudi kutoka majeruhi
 
Madrid imecheza kama ilivyocheza na Liva ile fainal ya UCL mwaka 2018.
Madrid iliwaacha liva icheze mpira.
Ni imani yangu mechi na chelsea akili kubwa na nidhamu kubwa inahitajika maana madogo wa THE BLUES wana njaa na hili kombe.
Dogo valverde mzuri aisee amejitahidi na ameonyesha yupo tayari kutumika kwa nafasi zaidi ya moja.
Kiukweli jana Courtois alifanya kazi yake kwa ufasaha sana, ile save aliyoifanya kwenye dakika ya 3 dhidi ya Salah ndio ilituvusha kwenye ile game., nilichokuwa ninaombea ni tusifungwe goli dakika 15 za mwanzo, huo muda ulipopita basi nilijua tu jamaa hawana tena uwezo wa kututoa. Vijana walihimili presha ya mchezo vema kabisa.
Sasa tujipange kwa Chelsea, wana vijana wengi ila ninajua utavuka tu.
 
Siidharau Chelsea ila sina hofu nayo kabisa. Tunawapiga nje ndani
 
The Tank
Mzaliwa wa Brasil mwenye Roho ya Kijerumani.
Pita wewe mpira Ubaki
20210415_115638.jpg
 
The Tank
Mzaliwa wa Brasil mwenye Roho ya Kijerumani.
Pita wewe mpira UbakiView attachment 1752629
Wakuitwa CARLOS Henrique Casemiro!! Jana alipita na Milner nusura Klopp na raia wenzake watoke na mapanga, jamaa hatari sana. Jana nilikuwa ninamchek alivyokuwa ana clear mipira ndani ya box letu utadhani anacheza beki ya kati kumbe ni raia tu aliyetokea huko kati kwa kiwanja anapambana tu na jamaa zake jamaa wasipate goli.
Halafu watu kama Casemiro bana na Luka Modric na mwenzie Kroos hawana hata longo longo kwenye mambo ya mkataba, wao club wakiwaambia tunakupatia kiasi fulani wao wanatia wino wanaendelea kukisanua uwanjani, sio Ramos anatusumbua kichwa kila siku, na asipoangalia safari hii atatokea mlango wa Uwani.
 
Hii ndoo inatuhusu hii
Suala la msingi ni kucheza na Chelsea kwa umakini sana, wana vijana wadogo so mchaka mchaka utakuwa Mkubwa ndani ya Uwanja, kama tulivyo waheshimu team nyingine zote basi na nao tuwaheshimu kisha tuwaonyeshe usiku wa Ulaya unavyokuwa.
Dani Carvajal akirudi na Varane hatutakuwa na headache tena kwenye selection ya team pia wachezaji watakuwa wamepumzika kutokana hatutakuwa na game nyingi sana hapa kati.
Nina uhakika tutakuwa na game poa sana
 
Wakuitwa CARLOS Henrique Casemiro!! Jana alipita na Milner nusura Klopp na raia wenzake watoke na mapanga, jamaa hatari sana. Jana nilikuwa ninamchek alivyokuwa ana clear mipira ndani ya box letu utadhani anacheza beki ya kati kumbe ni raia tu aliyetokea huko kati kwa kiwanja anapambana tu na jamaa zake jamaa wasipate goli.
Halafu watu kama Casemiro bana na Luka Modric na mwenzie Kroos hawana hata longo longo kwenye mambo ya mkataba, wao club wakiwaambia tunakupatia kiasi fulani wao wanatia wino wanaendelea kukisanua uwanjani, sio Ramos anatusumbua kichwa kila siku, na asipoangalia safari hii atatokea mlango wa Uwani.
Ramos watamuacha tu, kwa umri wake hana nguvu tena kwenye negotiation table. Ronaldo aliondoka sababu waliona kwa umri wake hastahili tena mshahara mnono sembuse Ramos ambae rahisi kabisa kumreplace. Kroose na Modric hawana longo longo sababu wanajua kwa walipofikia hawana nguvu ya kutaka mambo makubwa tofati na Ramos ambae haishi kwenye uhalisia.
 
Akizingua kiukweli ataondoka na ukizingatia na uwezo walioonyesha Militao na Nacho plus kuna uwezekano msimu ujao tukamsajili David Alaba basi safari yake inaweza kuwa rahisi kuliko alivyokuwa anafikiri., acha tusubiri tuone Bro wake atamshauri nini muda ukifika.
 
Kwa muda mrefu nimekua nikisikiliza wachambuzi wa vipindi vya michezo Tanzania, wengi wao kama sio wote hua hawaikubali Madrid kama inaweza kuchukua kikombe chochote.

Hata zile back to back to back wachumbuzi wengi walikua hawaisemi wala kuipa nafasi Madrid na hata mechi dhidi ya Atalanta na Liverpool wachambuzi wa Tanzania walisema tutaondolewa kwenye michuano.
Ni kwamba hawaujui ubora wa Madrid au mahaba yanawapa Upofu?
 
Ukiwapa jina la wachambuzi utakuwa unawapa cheo kikubwa sana, ni wasimuliaji wa matukio yaliyotokea uwanjani, ila hawapo technical na hawapo well informed, sana sana wanachoweza ni kuzungumzia team za Uingereza kwanza kishabiki. Kwahiyo usitegemee kupata technical analysis kutoka kwao haswa kwenye team za nje ya England.
Unamsikiliza mtu anaongea unaamua kuzima radio kwa kuwa unaona unajua kuliko yeye., ninataka waendelee hivi hivi ku underate team yetu ili wajifunze kufuatilia mambo.
 
Upo sahihi sana,hawa wasimuliaji wa matukio akili yao siku zote na wakat wowote wanajua timu za uingereza ndio bora wakat ukwel siyo,cha pili mara zote madrid huwa haipewi nafasi yakushida kwa sababu wanaongozwa na mihemko hawaangalii ubora wa timu ya madrid wanaangalia namna gan timu inayocheza na madrid inavyofunga magoli bila kuangalia namna gan madrid inaweza kuzuia nakufunga,na hiki ndio kilichowapata Juventus,Atletico and Liverpool na pia ndio kitachowatokea ambao tutaingia nao fainal.

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Man city anaweza kuwapeleke moto mpaka mkajuta kuingia uwanjani...

Chelsea kumtoa inawezekana ,ila mkikutana na city ...

Hamna chenu tena
 
Hao city mbona tumeshakutana nao mara kibao na tumewafumua,wewe ni mmoja wapo ambao wanatazama jambo kwa mhemko,..hii hatua kwa man city ni mara ya kwanza kwa hiyo swala la uzoefu kwa ni kipande lakini pia trend yao dhidi yenu kwenye haya mashindano inatubeba,lakini pia kiubora wa timu sisi tuna uwezo wakuzuia kutofungwa ila wao hawana uwezo huo.

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Hao city mbona tumeshakutana nao mara kibao na tumewafumua,wewe ni mmoja wapo ambao wanatazama jambo kwa mhemko,..hii hatua kwa man city ni mara ya kwanza kwa hiyo swala la uzoefu kwa ni kipande lakini pia trend yao dhidi yenu kwenye haya mashindano inatubeba,lakini pia kiubora wa timu sisi tuna uwezo wakuzuia kutofungwa ila wao hawana uwezo huo.

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Tumewapiga nje ndan mwaka Jana ,mkaaga mashindano kwa aggregate ya 4-2...

Hivi wewe unaangalia mpira kweli ?
 
mwaka jana eti..ebu weka mfululizo wa zaidi ya mwaka jana hapa. Man city taka taka tu kwetu
Taka taka wakati imekusukumia ukuni hapo bernabeu chumbani kwako ...

Mfululizo wa nin wewe sisi tunakutana uefa tu ,hatuko spain...
 
Back
Top Bottom