Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Mimi mpaka kesho ukiniweka Vinicius na Rodrygo hapo nichague mmoja nitamchagua Rodrygo, Dogo ana utulivu sana mbele ya goli na anajua kutumia nafasi, Ninaona Zidane siku hizi hata kwenye match squad hamjumuishi sijui dogo kapatwa na shida gani, ila game ya Jana Alikuwa anaimudu vizuri kabisa,
Vinicius kwenye game na Bilbao alifanya ujinga kama alioufanya tena jana, bado utoto anao mwingi sana kwa kweli, anahitaji kujifunza zaidi.
Upo sahihi sana mkuu...yule Rodrygo ana utulivu sana kwenye mechi,huyu Vin Jr ni kama Quaresma,ni machachari lakini siyo hatari.
 
Upo sahihi sana mkuu...yule Rodrygo ana utulivu sana kwenye mechi,huyu Vin Jr ni kama Quaresma,ni machachari lakini siyo hatari.
Dogo huwa ananichoshaga tu pale anapokuwa na mishe nyingi halafu hazina matunda, game kama hizi dhidi ya City hazitaki masihara, unatakiwa ukipata nafasi moja unaitumia hiyo hiyo sababu hujui utapata nyingine kama hiyo baada ya muda gani, ila kijana ndio kwanza anashika kichwa na kucheka! !
 
Game ya juzi kakosa goli la kizembe kabisa alipewa assist na Benzema akarusha miguu tu alinikwaza sana
Dogo huwa ananichoshaga tu pale anapokuwa na mishe nyingi halafu hazina matunda, game kama hizi dhidi ya City hazitaki masihara, unatakiwa ukipata nafasi moja unaitumia hiyo hiyo sababu hujui utapata nyingine kama hiyo baada ya muda gani, ila kijana ndio kwanza anashika kichwa na kucheka! !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kupoteza game na City, kuna watu wanachonga sana kwamba watatupiga Bernabeu. Kuna jamaa yangu mmoja hatujaongea kwa muda mrefu lakini jana kathubutu kunipiga simu kwa confidence aliyonayo. Okay, let's wait and.
Hala Madrid
 
Back
Top Bottom