Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 7,262
- 12,620
Mchepuko leo amekula mbele ila kwa mbinde...bado jumamos tunamsubiri mume wetu Barcelona aje abandue tigo kabisa
Mchepuko leo amekula mbele ila kwa mbinde...bado jumamos tunamsubiri mume wetu Barcelona aje abandue tigo kabisa
Ninasikitika saana kuona Madrid itajishuhudia inatoka UEFA kwa game ya kwanza ndani ya dimnba lao la santiago bernabeu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona mlifikiri mnacheza na lipuli rangers ya tabora.Hala madrid...leo inatakiwa tumnyooshe mtu zisipungie 3 kwa nunge...
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe Mbona umekata tamaa ghafla?Nina amini kuna kazi kubwa sana yakufanya kwa ajili ya msimu ujao..tunacheza lakin hatuna mipango yakushinda,...sioni kama kuna kuendelea hatua inayofuata,kwa UCL tuseme kwa msimu imetosha..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchepuko leo amekula mbele ila kwa mbinde...bado jumamos tunamsubiri mume wetu Barcelona aje abandue tigo kabisa







Yikpe naona yanga anaitwa boya mngemuwa ndondo angewasaidia.Timu yetu inahitaji striker wawili wenye uwezo zaidi ya waliopo ambao wanalijua goli haswa. Lakini kwa mwendo huu tutakuja pigwa kama mbsa koko huko mbeleni.
Sent using Jamii Forums mobile app

Hivi kwa nini zidane anlin'gan'gania li benzema
Ndo linachoma hii timu
Hafu ana sub za kipumbavu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa aisee hatuna Lugha chafu hao ni wa kuwasamehe tu maana ni wakimbizi waliotokea Liverpool, wengi wao ni under 19 utoto mwingi na malezi mabovu kutoka kwa walezi waoUzuri mashabiki wa RM hua hatuna lugha chafu ndio maana raia wamekukalia kimya ... mda utaongea
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuna shida kweli kwenye foward line yetu, Benzema sio mtu wa kumtegemea kihivyo sababu hana consistency ya ufungaji na bado sio mtu utasema atapata nafasi moja aitumie hiyo hiyo kupata goli, Jovic bado hajiamini kama anachezea Real Madrid lakini pia nafasi finyu anazopewa kwanza za dk chache za mwisho zimesababisha kutowasoma wenzie kwa uharaka zaidi.Timu yetu inahitaji striker wawili wenye uwezo zaidi ya waliopo ambao wanalijua goli haswa. Lakini kwa mwendo huu tutakuja pigwa kama mbsa koko huko mbeleni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa aisee hatuna Lugha chafu hao ni wa kuwasamehe tu maana ni wakimbizi waliotokea Liverpool, wengi wao ni under 19 utoto mwingi na malezi mabovu kutoka kwa walezi wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Ata mpanga nani mwenye afadhari? tatzo la Zizu hakusajiri striker mkali wa kusaidiana na Benzema
Sent using Jamii Forums mobile
Luka Jovic alinunuliwa kama mbadala wa Benzema, sema bahati mbaya hajawa na muunganiko mzuri na wenzie, alihitaji game nyingi ili ajue jinsi ya kucheza na wenzie ila kwasasa tutamtupia lawama bure tu.
Mimi mpaka kesho ukiniweka Vinicius na Rodrygo hapo nichague mmoja nitamchagua Rodrygo, Dogo ana utulivu sana mbele ya goli na anajua kutumia nafasi, Ninaona Zidane siku hizi hata kwenye match squad hamjumuishi sijui dogo kapatwa na shida gani, ila game ya Jana Alikuwa anaimudu vizuri kabisa,hizi dakika tano za kwanza wote tunacheza mipira unaofanana...wao wanautandaza chini na sisi hivyo hivyo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpira unadunda lakini mbn atleti anamkalisha liVARpool?Lawama hazina masiko la liga ni ligi dhaifu sana siku hizi mliyepangwa nae ni bora zaidi yenu
Mpira unadunda lakini mbn atleti anamkalisha liVARpool?